Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
Nairobi. Kenya, imekuwa kimbilio kwa usalama wa wakimbizi na watu wanaohitaji hifadhi kutoka nchi zao, hasa wale wanaokimbia udhalimu wa kisiasa. Hata hivyo, hali imeanza kubadilika kwa kasi na kuibua ...