NYUKI wa Tabora leo wametulizwa nyumbani baada ya kufumuliwa tena mabao 3-0 na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara na ...
OFISA Mtendaji Mkuu wa Pamba Jiji, Peter Juma Lehhet amesema mojawapo ya malengo yake makubwa ni kuhakikisha timu hiyo ya ...
STRAIKA, Jhon Duran amepanga kusafiri kwa maili 600 kila siku kutoka Bahrain hadi kwenye timu yake mpya ya Al-Nassr ya Saudi ...
WAKATI Mbwana Samatta anasajiliwa Aston Villa ya England nchi ilisimama kwa shangwe kuona kijana wake akipata nafasi katika ...
CEASIAA Queens ya Iringa katika dirisha hili dogo imeongeza wachezaji wanne kwenye maeneo tofauti. Timu hiyo iko nafasi ya ...
SOKA la Afrika halijawahi kueleweka. Binafsi limeanza kunivutia zaidi na zaidi. Sio mimi tu. Kampuni za kamari zitakuwa ...
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta mambo yanaonekana kuwa magumu kwa upande wake akiwa na PAOK ya Ugiriki amekuwa akikosa ...
MECHI 23 tu zimetosha kwa Simba kuamini kiungo wake fundi Jean Charles Ahoua ni mali inayotakiwa kulindwa ipasavyo na ...
MSHAMBULIAJI kinda wa Tanzania, Mourice Sichone anayekipiga katika timu ya Trident FC ya Zambia amesema anatamani aisaidie ...
KLABU ya mbio za magari ya Mount Uluguru imetwaa taji la klabu bora ya mwaka 2024 na kupewa tuzo maalum katika hafla ya ...
MSHAMBULIAJI wa TMA, Abdulaziz Shahame 'Haaland' amesema vita yake iliyopo ya ufungaji na nyota wa Mtibwa Sugar, Raizin ...
ALIYEKUWA mwimbaji wa Bongofleva, Vanessa Mdee ameweka wazi kuwa ametimiza miaka mitano bila kunywa pombe lakini hatua hii ...