MAMIA ya watu wameamua kuandamana nchini DR CONGO kupinga uchimbaji haramu wa madini unaoendelea katika eneo la mashariki mwa ...
UFARANSA: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani anayemaliza muda wake Antony Blinken ameanza ziara ya kikazi nchini Ufaransa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa Ilani ya Uchaguzi ilieleza ...
VATICAN : KIONGOZI mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amemchagua Simona Brambilla kuwa miongoni mwa viongozi wakuu.
NSSF kupitia kwa Meneja wa Sekta isiyo Rasmi, Rehema Chuma imeweka kambi ya siku nne katika soko la Tegeta Nyuki na Kawe, ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano ...
DAR ES SALAAM: BEI za vitoweo katika Mkoa wa Dar es Salaam zimeendelea kuimarika huku nyama ikiendelea kuwa juu ikiuzwa kwa ...
ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi kuwa tayari kuchangia kiasi kidogo kinachohitajika kuwawezesha wanafunzi ...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa sh 406,712,250 kwa REA kuhudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuendelea kusimamia malengo ya Mapinduzi ...
“Katika robo ya nne ya mwaka 2024, ujazi wa fedha ulikua kwa wastani wa asilimia 14.8 kwa mwaka ikilinganishwa na asilimia 13 ...
WAZAZI katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuona umuhimu wa elimu kwa watoto ...