GENEVA: Ushirikiano wa Kimataifa wa Chanjo- Gavi umesema karibu dozi milioni 10 za Malaria zilipelekwa barani Afrika katika mwaka wa kwanza wa utoaji wa kawaida wa chanjo kote barani humo.
Senzigwa amesema kuwa tayari vikundi 15 vilivyokidhi vigezo vimeshakopeshwa ikiwa ni pamoja na kukidhi vigezo viliwekwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali. Amesema katika vikundi hivyo 15 ...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe jiongeze na tuwavushe salama kilichofanyika Januari 22,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa ...