MBUNGE wa Jimbo la Kurya Magharibi nchini Kenya, Mathias Rhobi, amesema amani na usalama katika nchi ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Aliambatana na viongozi wenzake ...
NITAKUAMBIA kwa nini. Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza mbawa zake kwenda nje ya mipaka ya TZ ni lini? Mimi hata sikumbuki.