NITAKUAMBIA kwa nini. Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza mbawa zake kwenda nje ya mipaka ya TZ ni lini? Mimi hata sikumbuki.
Dodoma. Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2025 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027, Kassim ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC, ili kuha ...