Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...
Klabu hiyo inahusishwa kumsajili winga Jonathan Ikangalombo, akitokea AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiwa pia imemsajili, Israel Mwenda, pamoja na wengine ambao itawatangaza. Kamwe ...
Yanga ambayo ilipoteza mechi zake mbili za kwanza, kwa mabao 2-0 dhidi ya Al Hilal na MC Alger, lakini ilikuja kuzinduka na kuzoa pointi zote nne kwa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, ...