NAIBU Rais wa Kenya, Rigath Gachagua amewahishwa hospitali mara baada ya kuumwa gafla wakati Bunge la Seneti likitarajia ...
Gachagua alitakiwa kujitetea mbele ya Bunge la Seneti mchana huu lakini wakati wake wa kujitokeza bungeni ulipofika, hakuwepo ...
Gachagua anakabiliwa na msururu wa tuhuma zikiwemo ufisadi, kumhujumu rais na kuendeleza mgawanyiko wa kikabila.
Mahakama ya Kenya  imekataa rufaa ya Makamu wa rais Rigathi Gachagua, iliyolengwa na utaratibu wa kuondolewa madarakani ambao haujawahi kushuhudiwa, ambaye alitarajia kuzuia mjadala na kura muhimu kat ...
KENYA : JAJI wa Mahakama Kuu ya Kenya Chacha Mwita amesema Mahakama Kuu ya Kenya imeruhusu Bunge la Seneti nchini Kenya ...
GAVANA wa Kaunti ya Siaya nchini Kenya, Wakili Mwandamizi James Orengo ametetea msukumo wa kumwondoa Naibu Rais Rigathi ...
Bunge la seneti nchini Kenya, baadaye leo jioni linatarajiwa kupiga kura ya ndio au la, ya kumuondoa afisini naibu rais ...
Wakanda ni dola ya kufikirika Afrika Mashariki, ndani ya mfululizo wa vitabu vya Fantastic Four. Shujaa Black Panther ambaye ...
BAADHI ya wabunge nchini Kenya wana wasiwasi kuhusu usalama wao katika kipindi cha kuanza kujadili hoja ya kumtimua Makamu wa ...
Bunge la Taifa limeanza mchakato wa kumshitaki na kumng’oa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua, baada ya Spika wa Bunge ...
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame ...