Hata hivyo, pamoja na kundi hilo la waasi kuanzishwa tarehe hiyo, makeke yalianza kuonekana zaidi miezi miwili baadaye, Juni 6, 2012.
Aba bacanshuro bageze muri RDC nyuma yo guhabwa akazi na Perezida Félix Antoine Tshisekedi kugira ngo bafashe ingabo ...
Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya ...
Serikali ya DRC imeomba Rwanda iwekewe vikwazo na kupunguziwa kwa misaada kutokana na kukiuka sheria za kimataifa ...
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) “ni ...
CONGO: WAASI wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa ...
KATIKA mfululizo wa uvamizi wa balozi za nje zilizopo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), balozi za Ufaransa, ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) leo Januari 29, inatarajiwa kuketi katika Kikao cha dharura cha wakuu wa mataifa katika juhudi nyingine za kuzuia vita kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
Makundi ya waasi wenye silaha nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC yametangaza kuwa yamechukua udhibiti wa mji wa Goma ...