KAZI ya ‘kimbelembele’ ngumu jamani. Hayo ni maneno ya msanii wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, kutokana kuwepo kwake kwenye ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua hii.