Uamuzi wa Mahakama ya Juu nchini Uganda uliotangaza kesi za kijeshi dhidi ya raia kuwa kinyume na katiba ni ushindi wa haki za binadamu, linasema shirika la kimataifa la Haki za binadamu la Human Righ ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala.
Wakati ulimwengu ukiendelea kushuhudia mashambulizi makali na utwaliwaji wa maeneo unaotekelezwa na kundi la wapiganaji la ...
Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kusaini amri ya kiutendaji inayopinga mapenzi ya jinsia moja umeonekana kuwa nafuu ...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, aliyetekwa nyara, kwa mujibu wa mkewe, mwezi Novemba mwaka jana wakati ...
Besigye, mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, alishtakiwa katika Mahakama ya Kijeshi kwa kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria, kosa linalodaiwa kutendwa Kenya. Haijabainika kwa nini ...