Rais wa Kenya, William Ruto, amekamilisha ziara fupi nchini Angola, ambapo alikutana na Rais João Lourenço kwa mazungumzo ...
Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kukomesha matukio ya utekaji nyara kufuatia shinikizo la umma baada ya watu kadhaa kutoweka katika miezi ya hivi karibuni. Vyombo vya usalama kwenye taifa hilo ...
Kenya. Wakati vit3ndo vya utekaji raia vikikithiri nchini Kenya Rais wa nchi hiyo, William Ruto ameahidi kukomesha vitendo hivyo vilivyolaaniwa na makundi ya kutetea haki za binadamu na wanasiasa. Kwa ...
Rais wa Kenya William Ruto akizungumza wakati wa mkutano na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kando ya Kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa ...
Baadaye, Rais William Ruto alimteua Waziri wa Mambo ya Ndani ... kwa kuwatetea Wakenya dhidi ya ukandamizaji wa serikali ya Kenya Kwanza. ''Walinishtaki kwa sababu nilipinga ukandamizaji wa ...
Nairobi. Hali ya mambo nchini Kenya inaonekana kuendelea kuwa tata, baada ya Waziri wa Utumishi wa Umma, Justin Muturi kufichua hadharani jinsi mwanawe, Leslie Muturi alivyotekwa na namna Rais William ...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) ...
Familia hiyo inaishi mjini Kisumu, magharibi mwa Kenya- ngome ya upinzani ambako ghasia zilizuka Agosti 2017 kuhusu matokeo ...