WAKATI Kocha mpya wa Ken Gold, Vladslav Heric akianza kazi katika timu hiyo akisaka rekodi ya kwanza nchini, anakabiliwa na mitihani kadhaa itakayompaisha au kumwangusha.
Idara ya Uhamiaji imethibitisha kwamba wachezaji watatu wanaocheza Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara ...
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Ditram Nchimbi ameamua kuvunja ukimya juu ya kusakamwa mitandaoni kutokana na video inayomuonyesha akimvisha mwanamke pete ya uchumba, huku akiweka bayana ...
BADO Klabu ya Pamba Jiji inaumiza kichwa namna ya kumalizana na mshambuliaji, Mghana Erick Okutu ambaye mwanzo ilielezwa angejiunga na KenGold dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari ...
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya juzi Jumanne ameanza mazoezi ya gym tangu alipoumia Agosti 28 timu hiyo ilipocheza dhidi Azam FC katika Uwanja wa Major Generali Isamuhyo.
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ametaja mambo yatakayombeba kwenye mechi 14 za duru la pili zilizobaki ili kuihakikishia timu hiyo kucheza Ligi Kuu msimu ujao.
BEKI wa Tanzania Prisons, Paul Ngalema amesema sababu ya kutoonekana na timu hiyo tangu asajiliwe msimu huu anauguza majeraha ya ajali ya bodaboda aliyopata Julai mwaka 2024, mkoani kwao Dodoma.
STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham ameifikia moja katu ya rekodi za kihistoria za Lionel Messi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya mchezo dhidi ya RB Salzburg.