MASHINDANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2025 yalifanyika kwa mafanikio makubwa kisiwani Pemba. Tofauti na miaka ya hivi ...
WINGA wa Simba, Mzambia Joshua Mutale amepewa nafasi nyingine ya kuonyesha kile kilichopo miguuni mwake, baada ya mabosi wa ...
UNAMKUMBUKA yule straika mwili jumba, Makabi Lilepo aliyekuwa akiwindwa na Yanga tangu msimu uliopita ili kuja kuziba nafasi ...
BAADA tu ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, vigogo wa Yanga waliitana haraka na kufanya tathmini ya kile ambacho ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba anayekipiha kwa sasa Power Dynamos ya Zambia amekiangalia kikosi cha sasa wa Wekundu hao ...
KIUNGO Nassor Kapama amezua maswali baada ya kuonekana akijifua na Fountain Gate kisha ghafla kurudi chaka lake la zamani wa ...
SIMBA haitanii. Ikiwa imeshatinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara, mabosi ...
YANGA imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini chapu kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic ameanza msako wa kikosi kipya ...
SIYO kila changamoto zipo kumdidimiza mtu, nyingine zinasaidia kukomaza jinsi ya kutafsiri mambo kama anavyosema mshambuliaji ...
MANCHESTER City msimu huu imekuwa ikipitia wakati mgumu kutokana kufanya vibaya katika mechi za awali za Ligi Kuu England ...
HIVI karibuni straika wa Manchester City, Erling Haaland alisaini mkataba mpya wa miaka tisa utakaomwezesha kuitumikia timu ...
Mpango wa Arteta ni kuhakikisha anajaribu kuweka utulivu wa kutosha kwenye timu yake ili kufikia mafanikio yao ya kutwaa ...