Kwa kawaida, popote haiba mbili tofauti zinapogongana lazima mgogoro hutokea, ingawa hali hii inaweza kupunguzwa au hata ...
Kuna kisa cha mwanandoa Gilombo. Gilo hakujaliwa sura wala tabia nzuri. Alikuwa mzinzi wa kutisha aliyelazimisha ndoa kwa ...
Alikuwa ni mwanamke mzuri, mrembo kupita maelezo. Alikuwa ni mwanamke anayeweza kubeba sifa zote tamu na bado akabaki na nafasi ya kupokea zingine.
Dar es Salaam. Sekretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililochapishwa katika tovuti ya sektretarieti ya ...
Habari za kazi. Nina changamoto inayonipa tabu kwa miezi karibu sita sasa. Mume wangu ana changamoto ya ulaji usiokuwa wa kistaarabu. Akitafuna lazima vyakula vya mdomoni vionekane, ...
Kauli hiyo wameitoa leo Februari Mosi, 2025 katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe robo ya pili ...
Awali Mei 14, 2021, Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga ilimhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumkuta na hatia ya ...
Al Jazeera imeripoti kuwa miongoni mwa mateka wa Israel waliokuwa Gaza walioachiwa leo Jumamosi Februari Mosi, 2025, ni raia ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imesema kuwa hali ya ulipaji kodi katika wilaya hiyo ni ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani humo, wastani wa 12 hutumika kila siku huku ...
Inaelezwa kuwa malori karibu 100 yakiwa na shehena za mizigo yaliyotoka hapa nchini yamekwama DRC huku mengine yakishindwa ...
Kinda huyo aliyeitumikia Arsenal akichezea vikosi vya vijana kwa miaka mitano, amesema kuwa amefurahia kujiunga na Manchester ...