Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwamo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ...
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja kutoka Benki ya Absa, Ndabu Swere amesema malipo ya kidijitali ni njia inayowezesha ...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kwenda kusimamia vyema magonjwa ya milipuko ...
Serikali imeieleza Mahakama kuwa, bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na ...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mtu mmoja kati ya wanane wanaodaiwa kumshambulia na kumpiga mshale Mussa Ngasa ...
Pacome amesema mpaka sasa hata wao hawaamini kama timu yao imekosa kutinga robo fainali lakini sasa wanajipanga kutetea ...
Hata hivyo, amesema Serikali inatarajia kuleta msongo mpya wa umeme wenye megawati 220 kutoka Tanzania Bara mapema mwaka huu.
Unguja. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar, Shaibu Ibrahim Mohammed, amesema ipo haja Serikali kuendelea ...
Wakati ligi ikirejea, Simba inayoongoza msimamo itacheza dhidi ya Tabora United ugenini ilhali Yanga inayoshika nafasi ya ...
Mapambano dhidi ya rushwa yalianza tangu kuumbwa kwa dunia. Kila jamii inazo aina zake za rushwa. Na kwa kuwa kila ugonjwa ...
Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa ...
Dk Mahenge amesema kuongezeka kwa miradi hiyo kumetokana na kuboreshwa kwa mazingira ya uwekezaji kunakofanywa na Serikali ...