Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu, ameanza kusuka safu za uongozi ndani ya chama hicho kwa kupendekeza majina ya Katibu ...
Mgombea mteule wa urais wa Zanzibar wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema wamemaliza uchaguzi wa chama wakiwa salama, hivyo ...
Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha misaada ya maendeleo nje ya Marekani kwa siku 90, pamoja na azma ya ...
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwamo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ...
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja kutoka Benki ya Absa, Ndabu Swere amesema malipo ya kidijitali ni njia inayowezesha ...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kwenda kusimamia vyema magonjwa ya milipuko ...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mtu mmoja kati ya wanane wanaodaiwa kumshambulia na kumpiga mshale Mussa Ngasa ...
Serikali imeieleza Mahakama kuwa, bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na ...
Wakati Freeman Mbowe akihitimisha uongozi wake ndani ya Chadema kwa kuacha maagizo mawili ikiwemo kuundwa tume ya ukweli na ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imesimamisha uamuzi wa kesi inayomkabili mwanasiasa maarufu nchini, ...
Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa ...
Pacome amesema mpaka sasa hata wao hawaamini kama timu yao imekosa kutinga robo fainali lakini sasa wanajipanga kutetea ...