Rais Dk Samia Suluhu Hassan ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuendelea kusimamia malengo ya Mapinduzi ...
WAZAZI katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuona umuhimu wa elimu kwa watoto ...
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni katika tuzo ya walipaji kodi wazuri kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ...
“Katika robo ya nne ya mwaka 2024, ujazi wa fedha ulikua kwa wastani wa asilimia 14.8 kwa mwaka ikilinganishwa na asilimia 13 ...
VIONGOZI wa serikali za mitaa mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la uhakiki ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi wa Pemba kuwa barabara ...
SERIKALI ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika ...
MASHINDANO makubwa ya Vunjabei Cup yanatarajiwa kutimua vumbi Januari 11 mkoani Iringa yakishirikisha timu 120 kutoka kila ...
DAR ES SALAAM: OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul, Satbir Singh Hanspaul amesema kuwa Tanzania ipo katika nafasi ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema serikali inapaswa kuweka nguvu zaidi kwenye suala la ajira kwa ...
RAIS wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi, Yoon Suk Yeol, anakabiliwa na jaribio jipya la kukamatwa baada ya kushindwa ...
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wakuu wa shule za sekondari wilayani humo kufanya kazi kwa ...