Congo na nchi nyingine zinaishutumu nchi jirani ya Rwanda kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23. Rwanda, hata hivyo, inakanusha madai hayo. Kundi la M23 linasema kuwa linatetea maslahi ya Watutsi ...
Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...
Katika taarifa iliyotolewa dakika chache zilizopita na Jeshi hilo kupitia mtandao wake wa X(Twitter) zimeeleza kuwa ,amluki hao walijisalimisha kwa vikosi vya M23 kufuatia kutekwa kwa mji wa kimkakati ...