Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya ...
Dodoma. Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2025 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027, Kassim ...
Mataifa mawili ya Afrika Mashariki ya Rwanda na Tanzania yameshuhudia mlipuko wa ugonjwa wa Marburg hivi karibuni ...
SERIKALI imesema inafanya jitihada ili Kituo cha Forodha cha Pamoja (OSBP) Kabanga, kinachotoa huduma kati ya Tanzania na ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili, Christina Shusho na Ambwene Mwasongwe ni kati ya wasanii watakaolipamba tamasha la Mkono wa Bwana.
Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho ...