Mahakama ya Kenya imekataa rufaa ya Makamu wa rais Rigathi Gachagua, iliyolengwa na utaratibu wa kuondolewa madarakani ambao haujawahi kushuhudiwa, ambaye alitarajia kuzuia mjadala na kura muhimu kat ...
NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, leo ameomba msamahama ikiwa ni siku mbili kabla ya kujitetea kwa saa mbili (dakika 120) mbele ya umma juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Leo Oktoba ...