Bunge la Seneti nchini Kenya limeanza hatua ya mwisho ya kumuondoa mamlakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Wiki iliyopita ...
Mahakama ya Kenya  imekataa rufaa ya Makamu wa rais Rigathi Gachagua, iliyolengwa na utaratibu wa kuondolewa madarakani ambao haujawahi kushuhudiwa, ambaye alitarajia kuzuia mjadala na kura muhimu kat ...
KENYA : JAJI wa Mahakama Kuu ya Kenya Chacha Mwita amesema Mahakama Kuu ya Kenya imeruhusu Bunge la Seneti nchini Kenya ...
GAVANA wa Kaunti ya Siaya nchini Kenya, Wakili Mwandamizi James Orengo ametetea msukumo wa kumwondoa Naibu Rais Rigathi ...
Bunge la seneti nchini Kenya, baadaye leo jioni linatarajiwa kupiga kura ya ndio au la, ya kumuondoa afisini naibu rais ...
Mratibu maalum wa shuguli za Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Lebanon ameikosoa Israel baada ya mashambulizi ya anga kwenye ...
Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
BAADA ya Bunge la Kitaifa la Kenya kupiga kura kumwondoa madarakani Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua,anasubiri kufikishwa mbele ya Bunge la Seneti la nchi hiyo ndani ya siku mbili. Kwa mujibu wa ...
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame ...