Shirika la Afya Duniani (WHO) lmesema kuwa limetuma timu ya matibabu ya dharura kusaidia Uganda kupambana na mlipuko mbaya wa ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala.
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono ...
Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.