Wadau wameshauri Serikali iwekeze kwenye ununuzi wa mashine na uimarishaji wa mifumo ya ukusanyaji kodi, ili kuepusha mianya ...
BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika ...
Moshi. Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ...
BUNGE limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Mission 300) Mwaka 2025 kwamba, umeiletea sifa ya kipekee Tanzania na kutaja namna Watanzania walivyonufaika ...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekibeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikidai kuwa uchaguzi wa ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimezindua sherehe za miaka 48 ya kuzaliwa kwake kwa shamrashamra zilizopambwa na ...
KAZI ya ‘kimbelembele’ ngumu jamani. Hayo ni maneno ya msanii wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, kutokana kuwepo kwake kwenye ...