Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya ...
Mchengerwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Missaile Mussa kwa kushirikiana na uongozi wa wilaya, kuanza mchakato ...
Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba mosi, 2024, Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda amesema alipoapishwa na Rais Samia ...
Fedha hizo ni malipo yaliyopaswa kufanywa kwa wakulima wa korosho wanachama wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Nanyindwa ...
Skimu inayotolewa na NSSF inatoa mafao ya muda mfupi na ya muda mrefu ambayo ni pensheni ya uzee, urithi na mafao ya ulemavu ...
Mwanahabari, Erick Kabendera ametangaza uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya pingamizi lililozuia kuendelea kwa kesi yake ...
Mkali wa Hip-Hop wa Marekani, Sean “Diddy” Combs anatuhumiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono ...
Mkaguzi wa Ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Jonais Shao, mwanawe na mtumishi wa kazi za ndani waliuawa ...
Mkurugenzi wa Mkondo wa Chini wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Emanuel Gilbert wapo mbioni kumaliza kero ...
Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba Sport Club, Muharami Sultani (40) na wenzake, wanaendelea kusota rumande kwa siku ...
Serikali imepanga Oktoba 15, 2024 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo (Commital Proceedings), aliyekuwa Mkurugenzi ...
Mfahamu Hassan Nasrallah aliyekuwa kiongozi wa kundi la Hezbollah la nchini Lebanon ambaye jina lake limegonga vichwa vya ...