Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi Tsehai anasema alitekwa nchini Kenya na watu wanne wasiojulikana na baadaye kuachwa ...
Kenya, Uganda na Tanzania zote zimekaribisha uamuzi wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuahirisha michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) iliyocheleweshwa 2024 hadi Agosti 2025, ili kuruhusu ...
Serikali ya Ufaransa imeingia makubaliano na Taasisi ya Huduma za Afya Aga Khan ya miaka minne ya kutoa huduma ya chanjo ya ...
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Kenya la kuisaidia nchi hiyo na madaktari 500 watakaosaidia kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari katika vituo vyake vya tiba kufuatia kutokea kwa ...
MBUNGE wa Jimbo la Kurya Magharibi nchini Kenya, Mathias Rhobi, amesema amani na usalama katika nchi ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Aliambatana na viongozi wenzake ...