Kenya imetangaza siku ya Jumamosi, Januari 18, kutumwa kwa kikosi kipya cha maafisa wa polisi 217 kwa misheni ya kimataifa ...
Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita baada ya kukanyaga taifa hilo la Karibea. Wakati ...
Maelezo ya picha, Polisi wa Kenya, ambao wamekabiliwa na ukosoaji nyumbani, watapimwa uwezo wao kikazi katika uwanja usiojulikana nchini Haiti. Umoja wa Mataifa umeunga mkono pendekezo la Kenya la ...